mwenzenu anaomba msaada wa sample nyie mnataka kumuuzia. wabongo bana
wabongo ni shidaaaaaaaaaaaaa wanasema kufa kufaana matatizo yako ni mtaji kwa mwenzako
mi nauza kwa Tshs 20,000/= nakutumia iliyo kimili kazi yako ni kuedit tu bas kama upi serious ni check kwa numba 0756144386