C.K
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 394
- 164
Wadau naombeni mwenye document (word/pdf etc) ya memorandum ya kampuni kama nilivyobainisha hapo juu (ya Tanzania, under THE COMPANIES ACT, 2002 nadhani) anisaidie tafadhali, nataka kujua inavyokuwa then nifanyie kazi. Nataka kufungua/kusajili kampuni yangu na mm. Asanteni