Msaada - Sample Memorandum for a Company Limited by Shares

Msaada - Sample Memorandum for a Company Limited by Shares

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
164
Wadau naombeni mwenye document (word/pdf etc) ya memorandum ya kampuni kama nilivyobainisha hapo juu (ya Tanzania, under THE COMPANIES ACT, 2002 nadhani) anisaidie tafadhali, nataka kujua inavyokuwa then nifanyie kazi. Nataka kufungua/kusajili kampuni yangu na mm. Asanteni
 
Naweza kukuuzia,nina hizo articles of association sahihi,, nitafute nikushauri kwanza
 
mi nauza kwa Tshs 20,000/= nakutumia iliyo kimili kazi yako ni kuedit tu bas kama upi serious ni check kwa numba 0756144386
 
mwenzenu anaomba msaada wa sample nyie mnataka kumuuzia. wabongo bana
 
Back
Top Bottom