Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaa wa Jamhuri mkoa ganiChocolate nenda kule mtaa wa jamhuri utapata aina zote bei ya jumla
Dar kitumbiniMtaa wa Jamhuri mkoa gani
Ahsante sana nashukuru[emoji1431]Chocolate nenda kule mtaa wa jamhuri utapata aina zote bei ya jumla
Hee kuna sehemu inaitwa kitumbini? Duh ni wapi huku mkuu?Dar kitumbini
Hee kuna sehemu inaitwa kitumbini? Duh ni wapi huku mkuu?
Thank you dear, sikuwahi kuusikia huu mtaa beforeKitumbin kama sijakosea ni ule mtaa unaotokea mmazi mmoja kama unatokea clock tower kule baada ya posta ya zaman,ni eneo maarufu la kuuza kanga za jumla vitenge vikoi nyuma yake ndo kuna maduk ya jumla pia ya hizo chocolate purfumes n.k
Kama atapanda mwendo kasi itakuwa rahisi akishukia kituo cha kisutu anauliza sheli ya puma ipo karibu ndio kashafikaKitumbin kama sijakosea ni ule mtaa unaotokea mmazi mmoja kama unatokea clock tower kule baada ya posta ya zaman,ni eneo maarufu la kuuza kanga za jumla vitenge vikoi nyuma yake ndo kuna maduk ya jumla pia ya hizo chocolate purfumes n.k
Ahsante sana kaka[emoji1431]Kama atapanda mwendo kasi itakuwa rahisi akishukia kituo cha kisutu anauliza sheli ya puma ipo karibu ndio kashafika
Narudisha mrejesho. Iringakwanza nakushukuru sana kwa msaada wako, leo nmefanikiwa kwenda huo mtaa kufanya survey, na bei zimeniridhisha. Mungu akubariki sana[emoji1431][emoji1431]Kama atapanda mwendo kasi itakuwa rahisi akishukia kituo cha kisutu anauliza sheli ya puma ipo karibu ndio kashafika
Nashukuru sana, leo nmefanikiwa kwenda kwa kufuata haya maelekezo yenu, Lucy Godfrey ubarikiwe sanaKitumbin kama sijakosea ni ule mtaa unaotokea mmazi mmoja kama unatokea clock tower kule baada ya posta ya zaman,ni eneo maarufu la kuuza kanga za jumla vitenge vikoi nyuma yake ndo kuna maduk ya jumla pia ya hizo chocolate purfumes n.k
Tupe mrejesho Bei zikoje tunataka tuingie hukoNashukuru sana, leo nmefanikiwa kwenda kwa kufuata haya maelekezo yenu, Lucy Godfrey ubarikiwe sana
Ni chocalates za aina tofauti, kila chocolate na bei ake, na nmeona wanavyouza mtaan unaweza double bei au ukatriple maana nlikuwa nacompare bei za kwenye supermarkets na maduka nkaona ni kama wadouble na wanatriple.Tupe mrejesho Bei zikoje tunataka tuingie huko
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kudouble na kutriple ndo kukojeNi chocalates za aina tofauti, kila chocolate na bei ake, na nmeona wanavyouza mtaan unaweza double bei au ukatriple maana nlikuwa nacompare bei za kwenye supermarkets na maduka nkaona ni kama wadouble na wanatriple.
Wanafanya mara mbili au mara tatu ya bei waliyonunulia
Ahsante kwa kumueleweshaWanafanya mara mbili au mara tatu ya bei waliyonunulia
Du. Umeingia Dar lini? Eneo maarufu sana hili kwa bidhaa za jumla. Kariakoo na maeneo mengine ni ya juzi juzi tu lakini Kitumbini ndiyo chimbuko hasa la kununua bidhaa za jumla.Thank you dear, sikuwahi kuusikia huu mtaa before
Wanauza bei mara mbili/tatu ya waliyonunulia.