Msaada sehemu ya kupata chocolate na giftbox kwa bei ya jumla

Msaada sehemu ya kupata chocolate na giftbox kwa bei ya jumla

Maryjuan

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2022
Posts
685
Reaction score
2,078
Hello,

Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF.

Naomba msaada kama kuna mtu anafahamu ninapoweza kupata chocolate na gift boxes kwa bei ya jumla ama kama kuna mtu anafanya biashara hiyo, nitashukuru sana.
 
Kitumbin kama sijakosea ni ule mtaa unaotokea mmazi mmoja kama unatokea clock tower kule baada ya posta ya zaman,ni eneo maarufu la kuuza kanga za jumla vitenge vikoi nyuma yake ndo kuna maduk ya jumla pia ya hizo chocolate purfumes n.k
Kama atapanda mwendo kasi itakuwa rahisi akishukia kituo cha kisutu anauliza sheli ya puma ipo karibu ndio kashafika
 
Kama atapanda mwendo kasi itakuwa rahisi akishukia kituo cha kisutu anauliza sheli ya puma ipo karibu ndio kashafika
Narudisha mrejesho. Iringakwanza nakushukuru sana kwa msaada wako, leo nmefanikiwa kwenda huo mtaa kufanya survey, na bei zimeniridhisha. Mungu akubariki sana[emoji1431][emoji1431]
 
Kitumbin kama sijakosea ni ule mtaa unaotokea mmazi mmoja kama unatokea clock tower kule baada ya posta ya zaman,ni eneo maarufu la kuuza kanga za jumla vitenge vikoi nyuma yake ndo kuna maduk ya jumla pia ya hizo chocolate purfumes n.k
Nashukuru sana, leo nmefanikiwa kwenda kwa kufuata haya maelekezo yenu, Lucy Godfrey ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom