Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

Kinjekitile Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
566
Reaction score
1,583
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.

Karibuni wapendwa🙏🏿
 
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo,ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

nimekunywa miti shamba mbalimbali,nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama

Karibuni wapendwa🙏🏿
Pole ndugu!
 
Pole sana! Unasema Urologist na ndugu yangu sana Dr Igenge hapo Bugando amekushindwa...! Huku kwetu kwenye herbal napo unasema umeshakunywa mpaka umetosha! Katika tiba huwa hatuchoki,katika kupambana kutafuta tiba kila mahali,ndipo unaweza kupata uponyaji.Achana kabisa na kukata tamaa juu ya afya yako.Mpaka sasa watu wako Appolo wanapambania afya.
 
Back
Top Bottom