Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

Pole Sana
 
Nenda Kairuki hospital onana na daktari wa njia ya mkojo yule jamaa ni master sana naamini utakuwa vizuri
 
Kunywa chai isiyo na sukari u stimulate kukojoa mara Kwa mara!

Hasa usiku vikombe viwili au vitatu,na asubuhi ukiamka TU kunywa tena Kwa mwezi mmoja!!! Uone!

Ukiona hamna kitu jaribu hii;-

Unaujua mlonge!!?utafute mizizi yake OSHA ,kata kata vipande vidogo vidogo kama kiganja Cha mkono!

Weka maji vikombe vya chai hata vinne!halafu chemsha Hadi I've kama nusu saa!!kunywa maji yake kama chai pole pole!asubuhi na jioni!utapata kiu sana utakunywa maji na kukojoa sana!!

Utapona jaribu!
 
Unaweza kuwa ndugu yangu pia maana dr igenge ni baba mdogo wangu bwana
 
Kwamba bugando wameshindwa? Kwanza achana na mitishamba pili unaweza ficha identity yako ukaweka vipimo ulivyofanya na matokeo yake ili usaidike vizuri.

Unatumia bima? Kuna baadhi ya wagonjwa wanashindwa kupata matibabu sahihi kulingana na kutomudu gharama za matibabu kwa maana ya vipimo na dawa.

Kama kuna hoja imejibiwa huko utanisamehe, nimesoma post #1 tu.

Zaidi ni kuwa kichocho kinatibika kwa dawa tu.
 
Daaaah nashukuru sana kwa maneno yako ya kishujaa
 
nimeweka majibu ya vipimo hapo👇🏾👇🏾
 

Attachments

  • IMG_0881.jpeg
    1,013.5 KB · Views: 13
  • IMG_0880.jpeg
    1 MB · Views: 12
  • IMG_0879.jpeg
    864.6 KB · Views: 12
Kunywa maji ya moto, kutwa lita tatu kwa uchache, ndani ya wiki moja utaona mabadiliko.
 
Ni pm nitakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…