Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

JAMANI NAOMBA TUSAIDIE KUSAMBAZA NAMBA HIZI 0685237039-NIZAR
ILI TUWASAIFIE WENZETU WENYE SHIDAH HIZI
#KULEGEA KWA UUME
#NJIA YA MKOJO
#KUPATA MAUMIVU MAKALI KATIKA VIA VYA UZAZI
#KUWAHI KUMWAGA WAKATI WA TENDO LA NDOA
#UUME MDOGO SISI TUNAKU ONGEZA
ILA IKUMBUKWE 🔊🔊🔊HAKUNA DAWA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME .
 
Dalili kama za tezi dume, pole sana comrade.

Ova
 
Huenda una BPH (tezi dume).

Jiandae kufanyiwa DRE
 
Tatizo hilo limenikuta kwenye utu uzima, nimepimwa kila kitu ikiwemo tezi dume na figo, japo kiaina ni kama linapungua lenyewe.
Sema mojawapo ni kuchelewa hata kukojoa kwenye mechi na mwanamke, yaani namfyatua muda mrefu sikojoi hadi inakua kero.
 
Yeah!!! Upo sahihi sana,kuna muda nikiwa nazagamuana na binti yoyote nitachukua muda mrefu sana,mpaka binti anachoka…………Yani inakuwa ni kero na wakati inapaswa kuwa tendo la raha
 
Vipi mrejesho mkuu?
 
Pole sanaa vyema ukapimwa na vipimo vya mambo ya kiroho kuona uhalisia wa tatizo lilivyo
 
Si utaje Jina la Hospitali na location kwa faida ya wengi, au hiyo ni kwa huyo mtoa mada tu
 
M
Mkuu unaendeleaje? Am going through the same problem. Kipimo kinasahaulika na Urologists wengi ni hichi. Umefanya?
Mkuu bado sijafanya Ila ninauliza kama hicho kipimo kwa hapa Bongo kipo hospital gani na vipi kuhusu gharama;

Kinaweza tumika kwa bima au mpaka niwe na cash!??
 
M

Mkuu bado sijafanya Ila ninauliza kama hicho kipimo kwa hapa Bongo kipo hospital gani na vipi kuhusu gharama;

Kinaweza tumika kwa bima au mpaka

M

Mkuu bado sijafanya Ila ninauliza kama hicho kipimo kwa hapa Bongo kipo hospital gani na vipi kuhusu gharama;

Kinaweza tumika kwa bima au mpaka niwe na cash!??
Kama cash ipo kidogo nenda Aghakan kaka. PSA pale ni 130,000Tshs. Kuna Dr wazuri wengi pia unaweza kuwaona. Dr Kamran - Aghakan, Dr Kibona Anakua muhimbili, Hindumandal na Haitech au Dr Ally Byser anakua Seifee pale.
 
Kuna jamaa aliwahi kuwa na tatizo kama hili kwa miaka 3...
Baadae alikuja kunambia alihangaika sana kupata tiba mpaka kuja kugundua ni mambo ya kiswahili.

Anasema amepona.
 
Pima tezi dume mkuu
 
Kuna jamaa aliwahi kuwa na tatizo kama hili kwa miaka 3...
Baadae alikuja kunambia alihangaika sana kupata tiba mpaka kuja kugundua ni mambo ya kiswahili.

Anasema amepona.
Alikwanbia alifanya utaalam gani akawa amemaliza tatizo!??
 
wacheck hawa Home Dar-Kinondoni, hotline +255 783254970
 
Alikwanbia alifanya utaalam gani akawa amemaliza tatizo!??
mimi nawapenda sana nyie mnaochelewa kukojoaa!

Vijana wengi siku hizi dhaifu sana, ukimpa tu dakika moja kashaachia kojo lotee, wanaboa sana.

Mavijana dhaifu sana kama KUKU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…