Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
- Thread starter
-
- #81
BRAZA CHOGOš„²mimi nawapenda sana nyie mnaochelewa kukojoaa!
Vijana wengi siku hizi dhaifu sana, ukimpa tu dakika moja kashaachia kojo lotee, wanaboa sana.
Mavijana dhaifu sana kama KUKU.
Napenda sanaBRAZA CHOGOš„²
Are you male!?Napenda sana
Tezi dume (prostate enlargement), dalili zinaaza umri wa 40s, huyu atakuwa na urethral stricture (kubanwa kwa njia ya mkojo), ugonjwa unatibika kwa upasuaji, arudi kwa urologist kuangaliwa kwa kinaPima Tezi dume kk huenda ndio changamoto
hata chini ya huo umri watu wanapata hata miaka 20sTezi dume (prostate enlargement), dalili ezinaaza umri wa 40s, huyu atakuwa na urethral stricture (kubanwa kwa njia ya mkojo), ugonjwa unatibika kwa upasuaji, arudi kwa urologist kuangaliwa kwa kina