Msaada: Shule nzuri ya sekondari ya serikali Kwa wasichana Dar

Rasasem

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
100
Reaction score
79
Habari Wana jamvi,

Kwa mwenye kufahamu shule ya serikali ya wasichana tu mkoa wa Dar nahitaji kumuhamishia mdogo wangu tafadhali naomba anijuze.
 
Shule za wasichana kwa dsm kuna Jangwani, zanaki na Kisutu
 
Back
Top Bottom