Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,399
Reaction score
3,666
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM.

Mtoto ni wa kiume Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi.

Ahsante
 
Shule nyingi za Dar bei imechangamka. Nje ya Dar bei ni nzuri na quality nzuri.
 
Ungekuwa Katikati (Morogoro) Ningekutajia
 
Vipi za watoto mkuu I mean hizi grade one hadi seven

Zikiwa za dini christian itakuwa vizuri zaidi
Alfagems Secondary School Ada Million 1 Unalipa Kwa Awamu Boarding
Kigurunyembe Secondary School Ada Million 1.2 Unalipa Kwa Awamu Boarding

KUtwa Ni Nusu Yake, Pia Unaweza Kujiridhisha Kwanza Na Matokeo Yako
Kabla Hujafanya Maamuzi Yoyote
 
Brilliant secondary school -superb education
 
Sunshine kibaha tawi la st anne maria iko vzr sana performance wise ila kama umelea mtoto kizembe zembe atapata tabu wanachapa haswa hawataki umayai mwanangu yuko pale ada hazidi 1.3 na wanafundisha haswa nb kuna interview akifeli hapati nafasi.
 
Unapelekaje mtoto Boarding nyie wazazi mnakuwaje na akili mbovu nyie!

Hivi unajua michezo inayoendelea boarding school kweli wewe?

Unaachaje mwanao akawe shoga kisa elimu ambayo anaweza kuipata hata kwenye shule akiwa anatokea nyumbani.

Inabid wazazi waelezwe maana ya elimu maana kuna wazaz wanadhani elimu ni kujua Kiingereza!

Huko Board Mimi nimepita kuna uchafu Kwa watoto niliwahi kushuhudia nikiwa mwanafunzi, siwezi kushauri mtoto apelekwe Boarding.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom