Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

Msaada: Shule nzuri ya sekondari yenye bweni, ada nafuu Dar es Salaam

Morogoro Kuna Montfort, ST Theresa, Baptist
Zipo Nyingi Ila Inapendeza Ukiwatembelea Kujiridhisha
Hata Dar Montfort IPO Vituka Lumo, mazingira mazuri sana na ada rafiki, ila swala la ufaulu afuatilie mwenyewe.
 
Wakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM.
Mtoto ni wa kiume
Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi.
Ahsante
mpaka wanaanza kufanya mitihani ya std 7, shule zote nzuri kwa dar utakuta zimeshajaa, wameshafanya application na mitihani tayari....by the way ukitaka shule nzuri dar sahau kitu kinaitwa ada nafuu....tafuta shule za mikoani. kwa dar na pwani shule nzuri zenye wavulana si chini ya 3.6mil kwa bei ya mwaka jana kabla urusi haijaivamia ukraine
 
Alfagems Secondary School Ada Million 1 Unalipa Kwa Awamu Boarding
Kigurunyembe Secondary School Ada Million 1.2 Unalipa Kwa Awamu Boarding

KUtwa Ni Nusu Yake, Pia Unaweza Kujiridhisha Kwanza Na Matokeo Yako
Kabla Hujafanya Maamuzi Yoyote
@Kennedy hiyo Alfagems ndo ile ya padre pekupeku?
 
Sunshine kibaha tawi la st anne maria iko vzr sana performance wise ila kama umelea mtoto kizembe zembe atapata tabu wanachapa haswa hawataki umayai mwanangu yuko pale ada hazidi 1.3 na wanafundisha haswa nb kuna interview akifeli hapati nafasi
Wale wanakaririsha

Afu maisha ya siku hizi hupaswi somesha mtu kama jeshini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom