D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Sahihi kabisa. Shule nzuri huendana na uwekezaji mkubwa! Kwa hiyo na ada yake lazima ichangamke kidogo iki kufidiana.Nzuri Vs Nafuu havichangamani. chagua 1 Kati ya hayo
Unaweza kutaja tu mkuu anaweza kubadili mawazo kabisaUngekuwa Katikati (Morogoro) Ningekutajia
Alfagems Secondary School Ada Million 1 Unalipa Kwa Awamu BoardingUnaweza kutaja tu mkuu anaweza kubadili mawazo kabisa
Alfagems Secondary School Ada Million 1 Unalipa Kwa Awamu Boarding
Kigurunyembe Secondary School Ada Million 1.2 Unalipa Kwa Awamu Boarding
KUtwa Ni Nusu Yake, Pia Unaweza Kujiridhisha Kwanza Na Matokeo Yako
Kabla Hujafanya Maamuzi Yoyote
Wajinga kweli nyie unapelekaje mtoto mdogo boardingVipi za watoto mkuu I mean hizi grade one hadi seven
Zikiwa za dini christian itakuwa vizuri zaidi
Feza International
Unajambajamba tu, kwanza kwa akili hizi hata ukiambiwa una mtoto ujuwe siyo wako.Wajinga kweli nyie unapelekaje mtoto mdogo boarding
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Nakazia nakaziaUnajambajamba tu, kwanza kwa akili hizi hata ukiambiwa una mtoto ujuwe siyo wako.