Morogoro Kuna Montfort, ST Theresa, BaptistVipi za watoto mkuu I mean hizi grade one hadi seven
Zikiwa za dini christian itakuwa vizuri zaidi
Hata Dar Montfort IPO Vituka Lumo, mazingira mazuri sana na ada rafiki, ila swala la ufaulu afuatilie mwenyewe.Morogoro Kuna Montfort, ST Theresa, Baptist
Zipo Nyingi Ila Inapendeza Ukiwatembelea Kujiridhisha
mpaka wanaanza kufanya mitihani ya std 7, shule zote nzuri kwa dar utakuta zimeshajaa, wameshafanya application na mitihani tayari....by the way ukitaka shule nzuri dar sahau kitu kinaitwa ada nafuu....tafuta shule za mikoani. kwa dar na pwani shule nzuri zenye wavulana si chini ya 3.6mil kwa bei ya mwaka jana kabla urusi haijaivamia ukraineWakuu naomba msaada kwa anayeifahamu shule nzuri ya secondary yenye ada nafuu kwa hapa DARESALAAM.
Mtoto ni wa kiume
Mkinitajia na gharama zake ntashukuru zaidi.
Ahsante
@Kennedy hiyo Alfagems ndo ile ya padre pekupeku?Alfagems Secondary School Ada Million 1 Unalipa Kwa Awamu Boarding
Kigurunyembe Secondary School Ada Million 1.2 Unalipa Kwa Awamu Boarding
KUtwa Ni Nusu Yake, Pia Unaweza Kujiridhisha Kwanza Na Matokeo Yako
Kabla Hujafanya Maamuzi Yoyote
Wale wanakaririshaSunshine kibaha tawi la st anne maria iko vzr sana performance wise ila kama umelea mtoto kizembe zembe atapata tabu wanachapa haswa hawataki umayai mwanangu yuko pale ada hazidi 1.3 na wanafundisha haswa nb kuna interview akifeli hapati nafasi
Ndiyo Mkuu@Kennedy hiyo Alfagems ndo ile ya padre pekupeku?
Hakuna kukaririsha their very smart watoto wana reason vzr mtoto lazima umkunje vzr sio unamlea utepeutepe baadae ushindwe kumcontrolWale wanakaririsha
Afu maisha ya siku hizi hupaswi somesha mtu kama jeshini
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app