Msaada: Sifiki kileleni kwa kufanya mapenzi kawaida, najichua ili kufika

Kujichua ni ugonjwa wa akili check wataalamu wa tiba ya afya ya akili wakupe tiba then utakaa sawa utaacha.
 
Naona unahamasisha na kutangaza na kufundsha wanawake kujichua sjui kzaz cha mwanaume knaenda wp dunia ya sasa inapambana kumaliza umuhmu wa mwanaume kwa mwanamke na umuhmu wa ndoa.
 
Hellow guys,

Mimi ni Mwanamke wa miaka 25 mpaka sasa, nina mume na nampenda sana.

Tabia ya kujichua niliianza mwaka 2019 nikiwa Chuo mwaka wa kwanza ambapo Ex-boyfriend wangu aliniambia “anahisi anatumia nguvu sana na sifiki kileleni.” Hivyo nikaamua kuanza kujaribu kama uwezo ninao au lah!

Nilipofanya siku ya kwanza nilihisi raha sana, ikawa mchezo wa kila siku, nilikuwa nikijichua hadi mara nne au tano kwa siku, nmejaribu sana kuacha mchezo huo lakini nashidnwa kabisa

Kwa mwezi lazima nijichue hata mara nne au tano, hata kama nimetoka kufanya mapenzi lazima basi nijichue tena ili nijifikishe.

Naombeni msaada jinsi gani naweza kuacha kujichua, sababu anashindwa kabisa, kufika kwa kusex kawaida
Njoo inbox
 
umeacha?
 
Back
Top Bottom