Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

Majina ya hizo dawa please.
Hz
1577680072686.jpeg
1577680126145.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna "Doctor" alimwambia mtu kuwa ana TB akakndamizwa madawa akawa anazidiwa tu, ndugu zake wakampeleka India huko baada ya vipimo vya uhakika akakutwa hana TB ana acidity tu imemfanyia ulcers inamsumbua. Katibiwa siku tatu, karudi mzima wa afya.

Tanzania tiba ni majanga kusema kweli.
 
Madaktari waliosomea ujinga?

Niliwahi kupata case kama hii nilikuwa napata maumivu makali ya mgongo na homa kwenda hospital mara ya kwanza wakasema hakuna kitu mara ya pili baada ya kuzidiwa wakanipeleka kwa Dr Bingwa ana kliniki hapo nikapiga x-ray aliposoma akasema kuna matundu inaweza kuwa TB ya mifupa nikaanzishiwa dozi nimezinywa karibu mwezi hakuna relief zaidi ya hali kuwa mbaya kuja kucheck mara ya pili wakasema siyo TB ni leukemia baada ya uchunguzi tena wakasema siyo leukemia.....

Kuna shida sana kwenye diagnosis hapa unaweza ukapoteza maisha hivihivi usipochukua hatua za ziada ukiridhika na majibu ya sehemu moja
 
Kwenye picha hapo mbona Kama wamekuanzishia ile doz ya baada ya miezi 2
 
Niliwahi kupata case kama hii nilikuwa napata maumivu makali ya mgongo na homa kwenda hospital mara ya kwanza wakasema hakuna kitu mara ya pili baada ya kuzidiwa wakanipeleka kwa Dr Bingwa ana kliniki hapo nikapiga x-ray aliposoma akasema kuna matundu inaweza kuwa TB ya mifupa nikaanzishiwa dozi nimezinywa karibu mwezi hakuna relief zaidi ya hali kuwa mbaya kuja kucheck mara ya pili wakasema siyo TB ni leukemia baada ya uchunguzi tena wakasema siyo leukemia.....

Kuna shida sana kwenye diagnosis hapa unaweza ukapoteza maisha hivihivi usipochukua hatua za ziada ukiridhika na majibu ya sehemu moja
Haya maisha yetu ya kiafrica ni shida kwelikweli.
Pole aisee
 
Waione wapiga zumari wa kijani
Tanzania kuna "Doctor" alimwambia mtu kuwa ana TB akakndamizwa madawa akawa anazidiwa tu, ndugu zake wakampeleka India huko baada ya vipimo vya uhakika akakutwa hana TB ana acidity tu imemfanyia ulcers inamsumbua. Katibiwa siku tatu, karudi mzima wa afya.

Tanzania tiba ni majanga kusema kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kuna "Doctor" alimwambia mtu kuwa ana TB akakndamizwa madawa akawa anazidiwa tu, ndugu zake wakampeleka India huko baada ya vipimo vya uhakika akakutwa hana TB ana acidity tu imemfanyia ulcers inamsumbua. Katibiwa siku tatu, karudi mzima wa afya.

Tanzania tiba ni majanga kusema kweli.
Yaaani kongole ndugu ama kweli makaburi mengi ya maskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom