MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
R.I.P
Mkuu huyu mleta uzi amefariki?R.I.P mwamba ..Mara ya mwisho tuliwasiliana 31/12/2019 hapa hapa JF ila kwa bandiko la siku mbili hizi sikuliona.
Kifo ni siri kubwa wadau tuishi kwa kupendana
Sent using Jamii Forums mobile app