Msaada: Siku sita tangu nianze dawa za TB nasikia maumivu makali sana ya uti wa Mgongo

Duuuh!! Only in Tanzania!
Unamuamzishia mgonjwa madawa makali na ya muda mrefu kama ya TB while hujamfanyia diagnosis kujua kweli ana TB, aisee nimetetemeka!! Pole sana ndugu, Mungu atakuponya!
Hakufanikiwa kumponya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…