Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstore.Simu yako ni china version. Rudi kwa fundi mwambie kama atakuwa na global version firmware aflash upyaa. Au ufanye maujanja mengine.
Yeah afanye hivyo, hizi china version huwa wanaegeshea tu playstore zao. Simu ikiformatiwa tu kila kitu kinarudi kwenye uchina[emoji16]Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstore.
Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstorena
Ushauri wako kiongoziYeah afanye hivyo, hizi china version huwa wanaegeshea tu playstore zao. Simu ikiformatiwa tu kila kitu kinarudi kwenye uchina[emoji16]
Huyu fundi alihangaika na simu wiki nzima ila hakutoboaSimu yako ni china version. Rudi kwa fundi mwambie kama atakuwa na global version firmware aflash upyaa. Au ufanye maujanja mengine.
Kwani kabla ilikuwa na playstore? Gmail.n.k?Huyu fundi alihangaika na simu wiki nzima ila hakutoboa
Option ya ku add google account ilikuepo na nilikua natumia playstore na app zote za google fresh tu.Kwani kabla ilikuwa na playstore? Gmail.n.k?
Solution yaweza kuwa easy a download app market ingine kama 9app au Mobogenie a download apps then atumieSimu yako ni china version. Rudi kwa fundi mwambie kama atakuwa na global version firmware aflash upyaa. Au ufanye maujanja mengine.