Fountain of Youth
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 1,026
- 2,299
Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari.
Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in kwa google account yangu kwenye settings maana hakuna option hio. Hii imepelekea kushindwa kutumia apps za google kama Play store,google play services nk. Hivyo kupelekea simu kuitumia kwa shida.
Kwa anayejua solution ya hili tatizo naomba asaidie.