Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

Fountain of Youth

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,026
Reaction score
2,299
Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari.

Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in kwa google account yangu kwenye settings maana hakuna option hio. Hii imepelekea kushindwa kutumia apps za google kama Play store,google play services nk. Hivyo kupelekea simu kuitumia kwa shida.

Kwa anayejua solution ya hili tatizo naomba asaidie.

Screenshot_2021-09-15-18-29-49.png

Screenshot_2021-09-15-18-25-50.png

Screenshot_2021-09-15-18-25-43.png

Screenshot_2021-09-15-18-25-37.png
 
Simu yako ni china version. Rudi kwa fundi mwambie kama atakuwa na global version firmware aflash upyaa. Au ufanye maujanja mengine.
Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstore.
 
Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstore.
Yeah afanye hivyo, hizi china version huwa wanaegeshea tu playstore zao. Simu ikiformatiwa tu kila kitu kinarudi kwenye uchina[emoji16]
 
Yap! Au akiona shida afanye kama wanavyofanya watumiaji wa Huawei wasio na access ya google kwa ku-download app ya ourplay ili aweze ku-access google services ikiwemo playstorena

Naomba maelezo zaidi kuhusu hiia pp
 
Simu yako ni china version. Rudi kwa fundi mwambie kama atakuwa na global version firmware aflash upyaa. Au ufanye maujanja mengine.
Solution yaweza kuwa easy a download app market ingine kama 9app au Mobogenie a download apps then atumie
 
Kwa simu ya zamani tena android 5 mwambie aroot uweke custom rom na gapps separate. Android 5 kuna apps kibao hazifanyi kazi zitakosa permission.
 
Back
Top Bottom