Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

mahroof

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
50
Reaction score
63
Msaada wakuu
Simu yangu ni huawei ni used from china
Simu ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official

Screenshot_20240526_154538_com.android.settings.jpg
 
Msaada wakuu
Cm yangu ni huawei.ni used from china
Cm ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini

Mbn cjakuelewaaa hiyo screen shot na maelezoo tofautii mkuu
 
Ina andika hivi
 
Attachments

  • Screenshot_20240526_155329_com.gspace.android.jpg
    Screenshot_20240526_155329_com.gspace.android.jpg
    232.5 KB · Views: 17
  • Screenshot_20240526_154538_com.android.settings.jpg
    Screenshot_20240526_154538_com.android.settings.jpg
    162.1 KB · Views: 17
Sijuii whatsapp wana shida ganii mbn hata mm nkijisajili yaan nkikaaa kidogo tu wananiambiaaa you have log out of this account nikiingiaa want niambiaaa hivoo
 
Msaada wakuu
Cm yangu ni huawei.ni used from china
Cm ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
Kwa kifupi ipo Hivi SIMU ZA HUAWEI zilipigwa ban na wamarekani katika sakata hilo zikazuiwa kupewa android system na services zote kutoka Google Huawei wakasema sisi tupo vizuri tutaanzisha OS yetu ambayo ndio hiyo hamony na hawatatumia Apps za wamarekani tena

whatsapp nae wale wale wakikuona unatumia system ya HUAWEI wanakulima ban maan wanajua upo china na kampuni iyo ina mgogoro na America
 
Za china hazitaki OS , sababu kule whatapp imekuwa banned. Jaribu ku rig iruhusu app za nje
 
Wewe unatumia hiyo Hamony Os ndio sababu. Whatsapp anataka IOS na Android pekee.
 
Za china hazitaki OS , sababu kule whatapp imekuwa banned. Jaribu ku rig iruhusu app za nje
Good answer. Kwa kuongezea n kua WhatsApp hapo inamtambua uyo user wa iyo simu kama mchina kutokan na OS ya simu
 
Kwa kifupi ipo Hivi SIMU ZA HUAWEI zilipigwa ban na wamarekani katika sakata hilo zikazuiwa kupewa android system na services zote kutoka Google Huawei wakasema sisi tupo vizuri tutaanzisha OS yetu ambayo ndio hiyo hamony na hawatatumia Apps za wamarekani tena

whatsapp nae wale wale wakikuona unatumia system ya HUAWEI wanakulima ban maan wanajua upo china na kampuni iyo ina mgogoro na America
Sasa kaka na oppo nayoo inakuaje apoo
 
Msaada wakuu
Cm yangu ni huawei.ni used from china
Cm ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
Hilo siyo tatizo la sim mkuu. Bali ni aina ya WhatsApp unayotumia. Mara nyingi hutokea ukitumia WhatsApp GB. Fanya hivi download WhatsApp kutoka play store kisha install ila kwenye kuweka namba weka na nyingine tofauti naile uliyokuwa ukitumia WhatsApp. Ila ukitaka utumie namba ileile uliyokuwa ukitumia mwanzo inabidi restore sim yako kisha install WhatsApp kutoka play store only.
 
Kwa kifupi ipo Hivi SIMU ZA HUAWEI zilipigwa ban na wamarekani katika sakata hilo zikazuiwa kupewa android system na services zote kutoka Google Huawei wakasema sisi tupo vizuri tutaanzisha OS yetu ambayo ndio hiyo hamony na hawatatumia Apps za wamarekani tena

whatsapp nae wale wale wakikuona unatumia system ya HUAWEI wanakulima ban maan wanajua upo china na kampuni iyo ina mgogoro na America
Uongooooooooo
 
Back
Top Bottom