kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Ahamie wechat tu sasa.Kwa kifupi ipo Hivi SIMU ZA HUAWEI zilipigwa ban na wamarekani katika sakata hilo zikazuiwa kupewa android system na services zote kutoka Google Huawei wakasema sisi tupo vizuri tutaanzisha OS yetu ambayo ndio hiyo hamony na hawatatumia Apps za wamarekani tena
whatsapp nae wale wale wakikuona unatumia system ya HUAWEI wanakulima ban maan wanajua upo china na kampuni iyo ina mgogoro na America