Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

izo simu mtu mweupe alishazifungia zamani huwezi kutumia app zake
 
Kuna kundi kubwa la account za whatsapp zimekutwa na hili Janga.

Dakika 20 zilizopita nimeletewa simu (oppo) ina changamoto hiyohiyo nitoe msaada. Nime uninstall whatsapp iliyokuwepo nikapakua official app nika verify kwa email. Nilipoweka tu namba husika ili nipate code ukarudi ujumbe kama huo ambao mleta mada ameuambatanisha.

Nimewaandika whatsapp email kuwaomba ufafanuzi wa changamoto husika.
 
Kuna kundi kubwa la account za whatsapp zimekutwa na hili Janga.

Dakika 20 zilizopita nimeletewa simu (oppo) ina changamoto hiyohiyo. Nime uninstall whatsapp iliyokuwepo nikapakua official app nika verify kwa email. Nilipoweka tu namba husika ili nipate code ukarudi ujumbe kama huo ambao mleta mada ameuambatanisha.

Nimewaandika whatsapp email kuwaomba ufafanuzi wa changamoto husika.
Mkiambiwa msitumie masimu ya kichina hamusikii
 
Msaada wakuu
Cm yangu ni huawei.ni used from china
Cm ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
Kwa nilivyosoma haya maelezo haujakuwa banned, aka huja tumia unofficial app ama kuwa na tatizo la OS.

Tuanze hapa hii whatsapp yako umetoa wapi? U natumia nini ku sideload app za android kwenye simu yako?
 
Kuna njia niliwai iona YouTube ila sikumbuki jina la video, kawe mtundu youtube utaipata usiwe mchovu.
 
Tatizo ni hiyo WhatsApp haujadownload kupitia playstore,Na hiyo simu haina playstore
 
Mkuu iyo simu itakupa shida izo simu mmarekani kazifungia bora uirudishe ulipo inunua izo simu Kama sio mtundu hauwezi kuitumia
 
Kuna kundi kubwa la account za whatsapp zimekutwa na hili Janga.

Dakika 20 zilizopita nimeletewa simu (oppo) ina changamoto hiyohiyo nitoe msaada. Nime uninstall whatsapp iliyokuwepo nikapakua official app nika verify kwa email. Nilipoweka tu namba husika ili nipate code ukarudi ujumbe kama huo ambao mleta mada ameuambatanisha.

Nimewaandika whatsapp email kuwaomba ufafanuzi wa changamoto husika.
Oppo hawatumii android hivo nazo zinakula ban Oppo wao wanatumia system ya colorOS. ukikuta Oppo ni android jua haina license kutoka kwa wamiliki wa android hivo nazo zinakula ban
 
Nimeona simu yako ni mga-al00, sina hakika ila nahisi al00 ni version ya china.
 
Jamani wewe😂😂😂
Hapo inabidi tu arestore simu aanze kudownload upya, ikiwezekana atumie namba nyingine ikishakuja achange namba aweke ileile ya mwanzo🤒🤒
Weee mtaalamu sana nilipoona tuu watundu wa simu jina la kwanza likaja lako mkuu 😂😂😂😂
 
Wapi huko ukanitag nione😃😃.. Huenda me ni engineer na sijui
Kuna jukwaa moja wana kuheshimu sna baada ya kuona solutions zako..

Na mi nikafika pale nikawapa full info kuhusu wewe nikawa nimeua😂😂😂😂
 
Swali ni kwamba, je hiyo whatsapp ni officially? Usijekuta ni hizo whatsapp mod
 
Back
Top Bottom