Msaada: Simu used ya Huawei inanipata changamoto ya What'sApp

Ahamie wechat tu sasa.
 
Kama ana huawei yenye Harmony OS sidhani kama naweza kuwa na playstore.
 
Uyo atakula ban milele maan hata iyo playstore hana Simu yake sio Android ndio maan anakula ban atakua anachoma tu namba zake za simu

hapo abadili tu simu atafute za Android

Wamarekani sio watu wamchezo
 
Inakosaje play store akati ni android phone?
hiyo sio Android phone mkuu Angalia picha aliyoweka pale juuu simu yake inatumia HamonyOS na sio AndroidOS au na picha hujaona kiongozi
 
hiyo sio Android phone mkuu Angalia picha aliyoweka pale juuu simu yake inatumia HamonyOS na sio AndroidOS au na picha hujaona kiongozi

Mkuu nitafute nikulekebishie sim yako kama upo serious.
 
Sijuii whatsapp wana shida ganii mbn hata mm nkijisajili yaan nkikaaa kidogo tu wananiambiaaa you have log out of this account nikiingiaa want niambiaaa hivoo
Umeshawahi kutumia yale ma WhatsApp ya hovyo hovyo sijui WhatsApp GB, WhatsApp fm sijui WhatsApp what what? [emoji848]
 
Huawei za kuanzia 2020 hazina play store app, zilipigwa ban na US. Ila Huawei za kuanzia 2019 kurudi nyuma zinakubali Play store bila shida.
 
Kumbe kuna watu bado wanatumia huawei πŸ€¦β€β™€οΈ
 
Huawei za kuanzia 2020 hazina play store app, zilipigwa ban na US. Ila Huawei za kuanzia 2019 kurudi nyuma zinakubali Play store bila shida.
watu hawafatiliii technology na mambo yake
 
Umeshawahi kutumia yale ma WhatsApp ya hovyo hovyo sijui WhatsApp GB, WhatsApp fm sijui WhatsApp what what? [emoji848]
Nlitumiagaaa asa nkaacha lakin bado wananipa iyoo text
 
Oppo wanatumia ColorOS nao ni mule mule tofauti na HUAWEI wamelimwa ban kupata Android Operating system ndio maan wanatumia Hamony Operating system walioiunda wao wenyewe HUWAWEI
Okay basi inawezekanaa ndiyo sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…