Mkiambiwa msitumie masimu ya kichina hamusikiiKuna kundi kubwa la account za whatsapp zimekutwa na hili Janga.
Dakika 20 zilizopita nimeletewa simu (oppo) ina changamoto hiyohiyo. Nime uninstall whatsapp iliyokuwepo nikapakua official app nika verify kwa email. Nilipoweka tu namba husika ili nipate code ukarudi ujumbe kama huo ambao mleta mada ameuambatanisha.
Nimewaandika whatsapp email kuwaomba ufafanuzi wa changamoto husika.
Kwa nilivyosoma haya maelezo haujakuwa banned, aka huja tumia unofficial app ama kuwa na tatizo la OS.Msaada wakuu
Cm yangu ni huawei.ni used from china
Cm ina changamoto ya whatsap, nikisajiri number baada ya week inaanza kuandika kama nilivyo ambatanisha hapo chini
Msaada jamani tangu nimeanza kutumia whatsap sijawahi kutumia whatsap ambazo siyo official
Oppo hawatumii android hivo nazo zinakula ban Oppo wao wanatumia system ya colorOS. ukikuta Oppo ni android jua haina license kutoka kwa wamiliki wa android hivo nazo zinakula banKuna kundi kubwa la account za whatsapp zimekutwa na hili Janga.
Dakika 20 zilizopita nimeletewa simu (oppo) ina changamoto hiyohiyo nitoe msaada. Nime uninstall whatsapp iliyokuwepo nikapakua official app nika verify kwa email. Nilipoweka tu namba husika ili nipate code ukarudi ujumbe kama huo ambao mleta mada ameuambatanisha.
Nimewaandika whatsapp email kuwaomba ufafanuzi wa changamoto husika.
Mie mmoja wapo, halafu ndio mazipenda kinooma, katia jambo wamarekani walizingua basi ni haoa kwenye huawei.Kumbe kuna watu bado wanatumia huawei π€¦ββοΈ
Jamani weweπππ
Weee mtaalamu sana nilipoona tuu watundu wa simu jina la kwanza likaja lako mkuu ππππJamani weweπππ
Hapo inabidi tu arestore simu aanze kudownload upya, ikiwezekana atumie namba nyingine ikishakuja achange namba aweke ileile ya mwanzoπ€π€
Hamna bhana, utaalamu nautolea wapi sasaππWeee mtaalamu sana nilipoona tuu watundu wa simu jina la kwanza likaja lako mkuu ππππ
Niliona profile yako somewhere kuwa una degree ya kucheza na mobile phone kule jukwaa la tech ππππHamna bhana, utaalamu nautolea wapi sasaππ
Wapi huko ukanitag nioneππ.. Huenda me ni engineer na sijuiNiliona profile yako somewhere kuwa una degree ya kucheza na mobile phone kule jukwaa la tech ππππ
Kuna jukwaa moja wana kuheshimu sna baada ya kuona solutions zako..Wapi huko ukanitag nioneππ.. Huenda me ni engineer na sijui