Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LimauLima machungwa au machenza.
Masolko yote haya mkuuWakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
View attachment 2997610
Upo wapi?Wakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
View attachment 2997610
Tafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidiWakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
View attachment 2997610
KondoaUpo wapi?
Shukrani mkuu japo nilitamani sehemu nitakayouza kwa jumlaTafuta baa kadhaa zinazotoa huduma ya chakula ongea na watu wa jikoni sambaza huko ukipata bucha ya kitimoto unyama zaidi
Duh kwa hiyo nimekula hasara mkuu?Sahivi msimu wa malimao sokoni ukiwa na buku unachukua kisado
Hazifiki tani mkuu, ni miti kadhaa tuUnaweza jaza tani ngapi?
Huna soko jirani na wewe? Je unajua bei ya limau mtaani kwako hata sehemu zingine baada ya kupata jibu tembelea magenge wauzieWakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
View attachment 2997610
Tani ngapi dalali anakula ngapi masoko yapo dar lete upige pesaWakuu, Nina miti kadhaa ya limao imezaa malimao ya kutosha, sasa ninaomba kufahamu kuhusu soko pamoja na bei ya malimao.
View attachment 2997610
Usijefanya kosa unalima bila kujua soko lako utahis kila.mtu mchawi kwakoUpo wapi?