BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo kuna muda inaweza kukaa muda mrefu bila kuzima leo ni siku ya tatu toka ianze kujizima.
Nataka kurudisha dukani ishu ni muda umekuwa tight na kuanza kubeba maboksi kutoka kibamba mpaka Kariakoo niliponunua nabaki njia panda.
Nataka kurudisha dukani ishu ni muda umekuwa tight na kuanza kubeba maboksi kutoka kibamba mpaka Kariakoo niliponunua nabaki njia panda.