Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo kuna muda inaweza kukaa muda mrefu bila kuzima leo ni siku ya tatu toka ianze kujizima.

Nataka kurudisha dukani ishu ni muda umekuwa tight na kuanza kubeba maboksi kutoka kibamba mpaka Kariakoo niliponunua nabaki njia panda.
 
Tafuta helaa kaka sabufa c mziki wakuweka ghetto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mm mwenyewe Nina mauchulee nimiliki hii kitu afsaaa n vile mkwanja bd hajatulia..
 
Kadri unavyoitumia muda mrefu itakua ngum kuirudisha ofsin

Je ni subwoofer aina gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…