M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Anza na TRA hao wazee wa kukomoa usishangae kuambiwa Kodi 40m TZSWakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Kodi na Tozo Lazima unnye
Kodi tu?Inategemea ni ya mwaka gani, kimsingi zitaanzia mil 11 na kuendelea
gar nzuri mzee aliiacha kwenda kuifufua ilikufa engine mswaki wake mpka kifunga ilinila 9.5mWakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
View attachment 2429286
9.5m unapata IST iliyonyooka kwa za kulenga kwa madalaligar nzuri mzee aliiacha kwenda kuifufua ilikufa engine mswaki wake mpka kifunga ilinila 9.5m
Kodi tu?
Kwa bei hiyo unapata iliyonyoooka mkononi mwa madalali.......labda sababu iliachwa na dingi yako hivyo hukutaka fedheha ila kwa uzoefu wako wa mambo ya magari hili unalijuagar nzuri mzee aliiacha kwenda kuifufua ilikufa engine mswaki wake mpka kifunga ilinila 9.5m
Na mm nataka nijiulize na grand vitara kuanzia 2011 na kuendelea yenye cc2400.Gari nzuri, ngumu. Itunze tu.
Kama ni ya cc 2000 usitegemee ikimbie sana ila bado ni gari nzuri sana. Ya CC 2400 inakimbia ila inakula mafuta kidogo kuliko ya 2.0. Nimesafiri nayo mara kadhaa barabarani imetulia
Off road (kawaida) pia inapiga vizuri
Reliable sana
Ilikua engine gani 2.0L ama 2.4lLgar nzuri mzee aliiacha kwenda kuifufua ilikufa engine mswaki wake mpka kifunga ilinila 9.5m
Mie ninayo ya 2.4cc Mannual 5 Gears, tangu 2020 sijaona tatizo ambalo ni sugu tofauti na thermostat tu. Iliyokuepo olikufa Kila niliweka mpya inapandisha temperature, nikaamua kuitupilia mbali Kwa sasa naitumia bila thermo.Na mm nataka nijiulize na grand vitara kuanzia 2011 na kuendelea yenye cc2400.
ila nimeona review YouTube kwamba zinatabia ya kuuwa head gasket, hii inanipa shaka kidogo.
Na upande wa Gearbox ipi nzuri kati ya 5 speed manual ama 4 speed automatic hasa kwa safari ndefu?!