Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Ukidanganya uwe na kumbukumbu, juzi umeniambia chura ipo!![emoji23] [emoji23] [emoji23]


Usiwe na shaka Vyura watapatikana Katika Viwanja wa Maonyesho 7saba katika banda la maliasili na utalii.
 
Dada J acha masihara if is real a case nenda hospital kamuone specialist wa hizo kitu,usichukulie mizaha kama kweli nyonyo zinauma,mzarau mwiba utatokewa kitu
 
Nawaza hii ndio sababu kuu ya chuchuz kuwasha, nadhani inakupa alert enough is enough
Yes. this might be the reason behind but i wanna welcome you in my PM so i can diagnosis symptoms critically then cure your sickness completely.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom