Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Unaweza kumsaidia kumwonesha namna zinavyonyonywa kwa vitendo?
3-jpg.115344
 
Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
Pamoja na kuwatenga me lakini wanaume wamejitokeza kwa wingi kukusaidia na wengi wameonesha wako tayari kuzinyonya ili kuondoa sumu potelea mbali hata kama midomo yao itachubika lakini me ni watu wa kujitolea sana kusaidia ke hasa kwenye shida kama hizo
 
yaani wapuuzi hawakosi ......washikaji eeh kama vip tutulie huu ulingo hatuhitajiki maana tushaanza kuharibu
 
Pamoja na kuwatenga me lakini wanaume wamejitokeza kwa wingi kukusaidia na wengi wameonesha wako tayari kuzinyonya ili kuondoa sumu potelea mbali hata kama midomo yao itachubika lakini me ni watu wa kujitolea sana kusaidia ke hasa kwenye shida kama hizo
Lol
 
Inaonyesha hujagegedwa mda mrefu tafuta mtu ayashughulikie
 
Sometime usipo toa mbambuchi yako jamaa wainanilii hayo utokea.

Usibanie sanaa Dadangu au Kama vipi ni PM nije nikupe dawa ya hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom