Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari

Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
 
Mawazo, inawezekana akienda kwao yeye hutegemewa kwa kila kitu na anashindwa kufikia mategemeo yao.
 
Kwao anaenda yeye...

Kichwa kinamuuma yeye...

Wasiwasi unapata wewe...
 
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari

Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
wasi wasi ndio akili
 
Tuanzie hapa kwao wapi? Kabila gani?
 
Ni kisingizio mkuu ili usipige mbususu kumbe unakuta kapigwa na kijamaa huko hana ham [emoji3][emoji3] .......njo unipige
 
Anataka kupewa mikoba huyo kuwa makini.
 
Unge jaribu kumpa maswali 1 amelelewa na nani, 2 kati yake na ndugu zake nani ni kipenzi cha bibi, 3 bibi huwa anapendelea zawadi ipi anapo enda kumtembelea?.
 
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari

Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
Kama ni mkeo mnaweza kulivuka hili.

Lakini kama ni sex partner, endelea kushinda mechi zako
 
Ukute huko kwa bibi kuna njemba inamzamishia kichwa chake cha chini kupelekea kupata maumivu kwake kwenye kichwa cha juu.

Bibi ni sababu tu ya kuondoka hapo, kuna babu kijana ndie haswa anaekopewa nauli. Jiongeze.
 
1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari

Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
Huyo bibi yake anataka kumrithisha utamadumi na huenda tayari fanya uchunguzi utagundua kitu.
 
Back
Top Bottom