Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone
2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari

Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi

Mwanamke ambaye hanisikilizi ninamuacha tangu siku ya Kwanza,
Akaolewe na hao anaowasikiliza
 
Anaporejea kwako akitoka kwa bibi yake hicho kichwa kinamuuma sana kiasi cha kushindwa kukupa K ?

Au anakupa ujumba Kama kawaida pamoja na kuumwa kichwa?
 
Back
Top Bottom