Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 28,297 Reaction score 68,017 Apr 20, 2022 #21 NIMEONA said: 1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi Click to expand... Mwanamke ambaye hanisikilizi ninamuacha tangu siku ya Kwanza, Akaolewe na hao anaowasikiliza
NIMEONA said: 1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi Click to expand... Mwanamke ambaye hanisikilizi ninamuacha tangu siku ya Kwanza, Akaolewe na hao anaowasikiliza
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,430 Reaction score 11,813 Apr 20, 2022 #22 Anaporejea kwako akitoka kwa bibi yake hicho kichwa kinamuuma sana kiasi cha kushindwa kukupa K ? Au anakupa ujumba Kama kawaida pamoja na kuumwa kichwa?
Anaporejea kwako akitoka kwa bibi yake hicho kichwa kinamuuma sana kiasi cha kushindwa kukupa K ? Au anakupa ujumba Kama kawaida pamoja na kuumwa kichwa?
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Apr 20, 2022 #23 Muache kimuume tu bro
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,994 Reaction score 4,729 Apr 20, 2022 #24 Kwao anaenda mara ngapi kwa mwaka