mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sipati picha uwe na Gf kimbau mbau.. .
Jikubali tu...au jaribu hicho ulichofahamishwa huko....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga labda ukafanyiwe operation.Habari ya majukumu wana JF.
Mimi ni mwanaume Aged 23 ni mtanashati (handsome kiasi ) lakini Nina tatizo la kuwa na makalio makubwa sana jambo ambalo limekua likiniondolea ujasiri (confidence) mbele za watu na hata mbele za wanawake.
Nashindwa kuvaa nguo za kuchomekea kwa hofu ya mchomozo wa makalio. Pia T-shirt Nashindwa Kuvaa kabisa nikihofia kujicholesha na Mara Nyingi navaa begi kusudi nipate confidence ya kutembea,Most times nakuwaa natembea Jioni ama usiku at least nakua free kidgo
Honestly ni jambo ambalo Lina niumiza Sana kufikia hata kulia,
Nimewahi kukonda Sana kwa mazoezi(jeshini) lakini pamoja na hayo kufanya mazoezi sana na kupungua mwiil kwa kiasi kikubwa lakini makalio hayapungui kwa kiasi kikubwa kama mwili unavyopungua.
Ombi langu Kwenu kwa anayejua DAWA Au SOLUTION yoyote nzuri ya kupunguza makalio atakuwa kanipa msaada mkubwa kwangu na watanzania wengine wenye matatizo kama hayo ambao hawajui tiba.
Ahsanteni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hipsDah! Nna shemeji angu anazo mpaka hips ila mbona akivaa cadet or combat anakuwa fresh kabisa thoe sijawahi muona akiwa kavaa suruali ya kitambaa.
Jikubali
Unaweza kuzaa mtoto WA kiume halafu akarithi kila kitu Kwa mama ake matokeo yake ndio kama madhila unayo yapataThanks Sana mkuu
Hiii hatari
Yani natakiwe nizae na kimbau mbau
Yeah Mkuu it might be kurithi cause Dada yangu sio kawaida ila sijajua upande upi hasa cause Members wapo kawaida kote
Mkuu kuna tatizo gani kuzaa na a very Beautiful wife Acha a Curvy one
Usitembelee maeneo ya ZanzibarThanks Sana mkuu
Hiii hatari
Yani natakiwe nizae na kimbau mbau
Yeah Mkuu it might be kurithi cause Dada yangu sio kawaida ila sijajua upande upi hasa cause Members wapo kawaida kote
Mkuu kuna tatizo gani kuzaa na a very Beautiful wife Acha a Curvy one