Mkuu unaambiwa usipende kuvaa nguo za kubana.vaa nguo zikukae vizuri zikuache zisikubane.
Ukipenda ublazamen wa kuvaa kama akina daimond modo zikubane hapo tatizo halitoisha mkuu.
Vaa vizuri nguo kubwa itaondoa tatizo kabisa,mkuu hiyo ndo njia pekee.
Kuna watu wanamiili mikubwa na makalio ila suruali zao wanapunguzisha vizuri kwa fundi na zinawaficha.
Ila sasa hivi baada ya kuwa nguo imstiri mtu ati mtu ndo anaistiri nguo.
Asili ya nguo ni kuficha aibu zetu za ndani,na kuficha aibu lazima ukifiche kitu chake,na kuficha kitu unaweza kuficha kwa muonekano wake na umbile.
Watu wengi tunaficha miili yetu kimuonekano ila kimaumbile sehemu za miili zinaonekana zilivyo.
Mtu anavaa suruali imembana bila shaka tako hutoliona ila umbile la tako utaliona vizuri namna lilivyo.
Na wewe mtoa mada unataka kustiri aibu ya umbile la tako na sio aibu ya muonekano wa tako,kwa sababu muonekano wa tako utaonekana ukiwa uchi tu na wewe hutembei uchi kwa hyo aibu ya muonekano wa tako haiwezi kukukumba.
Ila aibu inayokukumba ni ya maumbile ya makalio yako kuwa makubwa na hilo linahifadhiwa na nguo utakazovaa mkuu.
Vaa nguo zinazokupwaya ili ufiche muonekano wa makalio na utafurahia maisha yako mkuua badala ya kuanza mazoezi ya kupunguza makalio.
Na sidhani kama yatapungua makalio peke yake bali utapungua na mwili oia.sasa hapo utakuta tako litaeendelea kuonekana kubwa kwa mujibu wa mwili wako utakavyokuwa.na hutasolve twtizo mkuu.
Jikubali vaa nguo za kupwaya utqmaliza tatizo na kuonekana umbile la makalio yako Mkuu.
Kwa msaada zaidi wa ushauri njoo PM tuwasiliane ikiwa umetosheka na haya sio lazima uje huko mkuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app