Wee mwagitoo acha ujanja ujanja nani kasema madini lazima uchimbeMadini yanachimbwa hayaokotwi,na yakidondoka yanajificha labda kama umeiba..
Huo ni urembo hakuna madini apo
Kwa hiyo hapo unamiliki mamilioni mangapi mkuu?Nashukuru Mungu haya madini nimeyajua leo baada ya kwenda kwa wataalamu wamesema yanaitwa Grandidierite.
Nashukuru Mungu haya madini nimeyajua leo baada ya kwenda kwa wataalamu wamesema yanaitwa Grandidierite.
Hiyo ina thamani ganiNashukuru Mungu haya madini nimeyajua leo baada ya kwenda kwa wataalamu wamesema yanaitwa Grandidierite.
Mkuu wa Wakipekee dhumuni la uzi linakaribia kutimia unayemtafuta huyu hapa kaja.Nitafute tufanye biashara karibu PM
Wee mwagitoo acha ujanja ujanja nani kasema madini lazima uchimbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo kuna mtu anataftwa kupigwAUnaokota madini kwa bei rahisi[emoji3][emoji3][emoji3] nunua..
Kuna mtu atapigwa hapa
Hapa inaonyesha ni jinsi gani watu wasivyojua maana ya neno madiniMadini yanachimbwa hayaokotwi,na yakidondoka yanajificha labda kama umeiba..
Huo ni urembo hakuna madini apo