Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Habarini wana JF...
Katika pita pita zangu leo nimeokota hili jiwe mwenye uelewa mzuri wa madini je hili jiwe lina madini yoyote au ni jiwe la kawaida tu???... nikiliweka kwenye mwanga limekua la njano hizo mbili za bluu nisipoliweka kwenye mwanga