Msaada tafadhali juu ya hili jambo

Msaada tafadhali juu ya hili jambo

Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Kweli wewe haupo serious, unajiita machafuko halafu unashangaa kwanini haupo serious na maisha hujui jina unalijiita linakufanya kuwa kama jina lenyewe?
 
Ni vitu gani vinafanya ujione haupo serious na maisha?

Unaweza kufanya jambo kuondoa mambo hayo na ujione upo serious na maisha?

Nini lengo lako kwasasa kama mwanafunzi?

Tafuta sehemu tulivu kisha tafakari maswali hayo.
Marafiki zangu tulo soma nao wayback wametobea, yaan mm ndo napamban n ma ca kweli, ningekuwa hata najitegemea
 
Back
Top Bottom