Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe haupo serious, unajiita machafuko halafu unashangaa kwanini haupo serious na maisha hujui jina unalijiita linakufanya kuwa kama jina lenyewe?Asalaam Alaikum naimani mko vizuri wapendwa. Nina umri wa miaka 26 alafu ni mwanafunzi wa chuo tena first year katika moja ya vyuo hapa Tanzania. Wakuu najiona sipo serious na maisha naombeni ushauri nifanyaje umri unakwenda wajameni
Marafiki zangu tulo soma nao wayback wametobea, yaan mm ndo napamban n ma ca kweli, ningekuwa hata najitegemeaNi vitu gani vinafanya ujione haupo serious na maisha?
Unaweza kufanya jambo kuondoa mambo hayo na ujione upo serious na maisha?
Nini lengo lako kwasasa kama mwanafunzi?
Tafuta sehemu tulivu kisha tafakari maswali hayo.