Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

My dia kapipi co mie bwana!haa haa haa!ningekwambia tu shost tumfungie safari lol!leo cjakuona kbs,umeadimika sn!

Tena huyo pole yake daah........kapendwa anakimbia?? Anataka nini sasa, this is 21st century bana, wanaokimbia wadada wenye mkwanja, wasomi imekula kwao mazima! Liberation, independence plus strength of the woman, mkwanja tutausaka kama kawa na mabinti zetu tutahakikisha wanasoma na kuwa wasomi zaidi yetu hata kama ni kwa shule za kata..........hawa viumbe waoga mbona WATAJIBEBA na KUJICHUNGULIA JUU!!! Hahaha habari yako kipenzi changu Cantie, mzima weye?? Nimeadimika kidogo si unajua tena, natafuta condusive environment haya maisha hayatabiriki, ila nilitupia coment moja page 11.......kashengo aliidaka fasta kweli lol!!
 
ndo maana mashost wengi haijaichangamkia sredi kwani ukibisha sana utaonekana unabishia fact

Una uhakika hatujachangia kwa sababu hiyo?? Nyie wanaume ni viumbe weak sana japo huwa mnajidaisha kututumua vifua na kuvimbisha vichwa na ndo maana mkiona mwanamke kaendelea huwa mnakosa hoja na kutoa visingizio!! Mwapenda muendelee nyie tu as if mwanamke hastahili! Pesa zinawapa vichwa sana kiasi kwamba mnatumia vibaya hiyo jinsia yenu, wengine pesa huwakanganya na kufikia hatua ya kuweka heshima ya nyumba ndogo kila mtaa kisa mna pesa na mnaitwa 'mapapaa'!!! Sasa hivi mkihamia nyumba ndogo tunawakodia na malori kabisa yawasindikize.......NO STRESS, muda wenu wa kunyenyekewa ka miungu watu upo mashakani...... Crap!!!
 

easy meen..na ndo maana nilinote ujio wako..nakukubali sana katika kuitetea jinsia yako... crap!
 
tusalimiane kwanza...Habari yako? Kuna watu msipochangia hainogi..in short mnahusika sana hapa kwenye sredi

Habari yangu mie nzuri, waonaje hali yako?? Kusema kweli wanaume concervative, wasiojiamini ni matatizo matupu!! Yaani mnakuwaga na vijisababu vya ajabu ajabu sana, mara mrembo sana, mara ana mkwanja atanidharau, oooh mara wasomi wana matatizo(tena kama hiyo field ya kina Halima mdee na hawa wa TAMWA ndo kabisa ........). Always play ur part as a man and do the best, uone kama mke wako hajakuheshimu na kukutake care!! Wenzenu wenye uelewa wanakula mema ya nchi! Bahati mbaya mi muda wangu huwa hauniruhusu kuanzisha thread na kuisimamia hapa, la sivyo mkutano kama ule wa Beijing ungehamia jamvini lol!!!
 
mwanamke nayeishi naye ananizidi kila lakkini sioni tatizo nafikiri ni ushamba tu

ni kweli kabisa....siku ya kwanza mimi naingia kwake niliishiwa pozi lakini mafanikio yake ikawa changamoto kwangu ...nilikomaa hadi nimefanikiwa na niko nae...huyu jamaa ananishamgaza kumkimbia mtu eti kisa anakuzidi mali
 
Hivi ninyi dada zetu, kwa nini mnapenda kujiozesha wakati hatujala hata mahali. Eti kapika na kupakua "" shombo hilo"" .Mshikaji kala tunda kazuga na inferiority. Migodini wanalipa pesa ya uhakika nyingi tu hawezi kuwa na inferior kiasi cha kukimbia eti salary slip. Acheni kujirahishi kwa kugawa tunda ukidhani ndio wajenga msingi. Mabazazi mjini wengi wanakodi gheto za washikaji magari na kuzuga wakipata kitu nduki, hata akienda TBT leo anaweza akaamniwa huyo jamaa hayupo pale. Jamani mle mna asali acheni wapakue wanaoweza kuumwa na nyuki sio kila mtu unampa aonje? SoRRRY
 
easy meen..na ndo maana nilinote ujio wako..nakukubali sana katika kuitetea jinsia yako... crap!

Mwanamke usipojitambua nani atakutambua? Crap!!! Mi mwenyewe nawakubali sana wanaume wa ukweli, ila hao 'watoto wa kiume' na ile 'mianaume' always kwangu watapita kushoto tu!! Hahahahaa alafu nawe kufatilia nyendo zangu.......nakupa twente foo awazi za marekebisho lasivo nakunyang'anya mdogo wangu lolzzz!!
 
i see ,huyu mwanamme ni muoga na ni wa tofauti pole zake .
 

Hilo nalo lawezekana coz this is dunia bana, heheh as per ur say, wanaume ndo wanaochafua kwa sababu wamekuwa na masikio yanayozidi kichwa!!! Sisters tuweni makini na misimamo yetu, mipango sio matumizi!!
 
Kidzude!punguza munkari!unataka kutuambia huyo wako hukumtoboa mpaka ulipooa km umeoa?au km ni bachela unataka kutudanganya ww ni bikira?acha hizo bwana!wangapi wanakula mpaka wanazalisha watu na hawakimbii na wanaoa?ungesoma maoni ya wengine na kuona nilivyowajibu waliouliza kistarabu maswali km yako ungeelewa wala ucngetoa mapovu kiac hiki!hiyo relation haikuanza juzi na walikua fresh mpaka juzi jamaa alipojua binti yuko juu vibaya ndio akakimbia!
 
My dia Kapipi,mie mzima kbs!niliona coment yako sema kashengo naona leo kaamua kukomaa na ww! Wala hujakosea dili kusaka mahela mwanakwetu!c unajua vivulana ndio huwa havijiamin vikiona uko safi vinajistukia na kukimbia ila wanaume mbona atakukoleza mpaka umkabidhi kila kitu mpnz!sema rafiki yangu alilewa mapnz vingenevyo angestukia tu km jamaa ni mvulana!
 
Huyu dada alishindwa tu kumsoma jamaa. Jamaa alikuwa na shida ya kunywa maziwa na siyo kufuga ng'ombe. Kosa alilofanya huyo dada ni kugawa maziwa kwa jamaa akitegemea kuwa kwa kufanya hivyo atamshawishi jamaa afuge ng'ombe.
 
hata hivyo,mwanamke akikuzidi kipato, anakuwa na wivu zaidi. Tatizo dogo utaambiwa TOKAA KAMA ULIVYOKUJAA!
 

hakuna kiumbe complicated kama binadamu. huwa anawaza mengi sana lakini anaweka wazi machache mno. na mara nyingi anayoyasema siyo ndiyo anayomaanisha. huyo mwanaume ana sababu nyingine kabisa tofauti na hiyo anayoisema.

ushauri kwa mwanamke ni kuwa aikubali hii hali, kwani huenda ameepushwa na jambo baya, au anaandaliwa kilicho chake kwa maisha yake. siwezi kusema huyo bwana ni mbaya au mzuri, kwani alichokifanya ni kujizuia kumwoa asiye mpenda -watu hupendana ndiyo huoana na si mmoja anapenda ndipo anaoa.ninaamini kwa 100% sababu ya kipato siyo ndiyo imemkimbiza huyu bwana. anasababu ambayo anaijua yeye, huenda tangu mwanzo hakuwa makini, sasa amaona dada yupo serious na yeye (mwanaume )hayupo tayari ndo amekuja na hizo sababu "dhaifu"
 

Umeona eeeh? Mambo ya dharau na manyanyaso ni tabia binafsi kutoka kwa mtu mwenyewe na wala sio universal!! Kuna watu wamezidiwa kipato na mawife wao lakini wanaishi vizuri na mfano mzuri ni hao wadau hapo juu!!! Unajua wasipende kusikiliza sana maneno ya watu for yanadiscourage kwakweli, hata kama ni kuona ama kusikia, au ushauri lakini pia tumia akili yako kama wewe ktk kuishi coz yalopata flani si lazima na yule yampate!! Hahahaa my dear kashengo alikuwa amenimiss kwa hili useful thread! Btw, at first nilidhani umeteleza kumbe ndo unaniitaga 'kapipi' lol!
 
Mapenzi hayaangalii kipato hata siku moja!Watu huwa tunapendana jinsi tulivyo, mrefu, mweusi, mweupe, mfupi, mnene, mwembamba, mrefu, maskini, tajiri, zeruzeru, mpole, mkali nk Hali ikijitokeza kama hivi ujue hakuna mapenzi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…