Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
- Thread starter
-
- #121
Mie naona mnaogopa tu bure,Tatizo la hawa dada zetu mnapoanza atakupenda kweli hata kama amekuzidi ila baada ya kuzoea ndoa na kuanza kuwasikiliza mashoga zake wanaotolewa out na waume zao basi anaanza kukuona mzigo. Ladies hasa wa kizazi hiki hawana upendo wa kudumu kama wake zetu tuliooa miaka 10 iliyopita. Huna hela basi anakudharau na huyu bwana kaonyesha uanaume kwani usidanganyike mwanamke anakupenda zaidi ukiwa uko vema ila kipato kikipungua tu madharau huanza je akikuzidi kipato si ndo hatari?
Huyo jamaa ni aina ya wanaume aliowasema Bishanga,ila sio WANAUME aliowasema Aspirin,huyo jamaa hajiamini kabisa na hafai kuitwa mwanaume,hebu huyo binti akutane na MWANAUME kama mimi,lazima kwa kuunganisha nguvu tungekua na mjengo kama wa NSSF!!
Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi.
Kwa kipindi cha miezi minne ya mahusiano yao hakuna aliyekua anajua kwa mwenzie,basi wakapanga jamaa atakapokuja dar wakaoneshane makwao,basi jamaa akarudi dar ijumaa iliyopita km kawa wakakutana na jmosi jamaa kampeleka mdada kwake tabata wakashinda huko wakapika na kupakua.
Jpili mdada naye akampeleka jamaa kwake maeneo ya Sinza hapo ndio balaa lilipoanzia kwan muda wote wakiwa pale yule mkaka alikuwa hana raha mwenzie akamuliza kulikon mbona ulikuja vizuri,yy akamuuliza pale anaishi na nani akamwambia mbona nilishakwambia naishi peke yangu.
Akamwomba amwonyeshe slip yake ya mshahara mdada akapigwa butwaa ila akamwonyesha kumbe kaharibu jamaa kanyanyuka na kuondoka akiwa amekasirika mdada hakumwelewa akambembeleza bila mafanikio,usiku wake jamaa akamtumia bint msg kuwa hamtaki tena,kwa sababu anahisi huyo mdada atamtawala maishani kwa vile kwanza ana kipato kikubwa,na ameshajijenga sana kimaisha,hivyo ni rahisi yeye kutokuwa na sauti ndani ya nyumba,au huyo dada anaweza kumwaga wakati wowote na kutoka na wenye uwezo km yy.
Mpaka ninavyoandika huu uzi jamaa hapokei simu na jana kaondoka kurudi mwanza,dada watu kachanganyikia alishampenda jamaa kupita kiasi hata hajui cha kufanya!
Asa mi nauliza hivi nyie wanaume hivi binti kuwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume ni kweli ni tatizo kwenye mahusiano?
Na dada afanyaje ili jamaa aelewe na waendelee?
Kwa hiyo jamaa amesha kula mzigo tayari?
Wala hujakosea kbs,Huyo jamaa ni limbukeni na ana ka ugonjwa kanaitwa inferiority Complex!!! Upendo haujalishi wheather ni maskini ama tajiri. Kwani watoto wa matajiri ama mabinti wenye uwezo si wangelolewa na matairi wenzao. Namshauri mdada huyo atue moyo atafute mwingine. Na awe mnyimi maana ataumiza roho yake bure!!!
Dah, hapa napo umenipa somo,atakuwa alikutana na Miner, what do you expect from a miner. Akili zao wanazijua wao, vya arusha, pombe, miraa akataka zote. Siwezi condem wanaume kuwa na inferiority kwa sababu case aliyokutana nayo huyo dada ni spesho case.
Angekuwa kakutana na mwanaume mwingine aliye kwenye industry tofauti na mining ningekoment.
Miners all over the world are special cases.
Hivi unachezea akili ya mtu anyezama umbali wa km kwenda chini? Unadhani atakuwa normal.
Asante Mbu,dahhh Eiyer unamuonea Bishanga bure hapa,...hahaha...
...kwa mtazamo wangu, huyu mwanaume ndiyo type ya wale wa Aspirin aisee,..
yaani kiburi, majigambo na majivuno ya uanaume wake yamemvuka maskio
kiasi cha kujiona hatakuwa na sauti kwenye nyumba hiyo...
...angalia woga wake ulivyomponza? anafikiria uwezo wa kifedha ndio kila kitu katika ndoa!
no wonder wanaume kama hawa hutudhalilisha pale anapokuwa na kajiuwezo kidogo utamsikia,
"nishamtimizia mahitaji yote mke wangu acha wanaume tuendelee na vikao vyetu baa mpaka majogoo!"
Wala asingeweza kumfanyia hivyo,
Unajua kabla hajajua kipato cha binti alikuwa anampenda kwa namna alikvyokuwa anamheshimu,kiasi kwamba jamaa alipagawa kupita kiasi,mpaka jamaaa alishatoroka kazini mara mbili kumfata binti mwanza mjini,kwa kifupi alikuwa amehsakolea tayari,kipato ndio kimeua mapenz!
Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi.
Kwa kipindi cha miezi minne ya mahusiano yao hakuna aliyekua anajua kwa mwenzie,basi wakapanga jamaa atakapokuja dar wakaoneshane makwao,basi jamaa akarudi dar ijumaa iliyopita km kawa wakakutana na jmosi jamaa kampeleka mdada kwake tabata wakashinda huko wakapika na kupakua.
Jpili mdada naye akampeleka jamaa kwake maeneo ya Sinza hapo ndio balaa lilipoanzia kwan muda wote wakiwa pale yule mkaka alikuwa hana raha mwenzie akamuliza kulikon mbona ulikuja vizuri,yy akamuuliza pale anaishi na nani akamwambia mbona nilishakwambia naishi peke yangu.
Akamwomba amwonyeshe slip yake ya mshahara mdada akapigwa butwaa ila akamwonyesha kumbe kaharibu jamaa kanyanyuka na kuondoka akiwa amekasirika mdada hakumwelewa akambembeleza bila mafanikio,usiku wake jamaa akamtumia bint msg kuwa hamtaki tena,kwa sababu anahisi huyo mdada atamtawala maishani kwa vile kwanza ana kipato kikubwa,na ameshajijenga sana kimaisha,hivyo ni rahisi yeye kutokuwa na sauti ndani ya nyumba,au huyo dada anaweza kumwaga wakati wowote na kutoka na wenye uwezo km yy.
Mpaka ninavyoandika huu uzi jamaa hapokei simu na jana kaondoka kurudi mwanza,dada watu kachanganyikia alishampenda jamaa kupita kiasi hata hajui cha kufanya!
Asa mi nauliza hivi nyie wanaume hivi binti kuwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume ni kweli ni tatizo kwenye mahusiano?
Na dada afanyaje ili jamaa aelewe na waendelee?
Mbu MWANAUME hawezi ogopa hata iweje,jukumu la MWANAUME ni kumuongoza mwanamke hata kama ana hela kama Oprah!
Mtu mwenye uhakika na afya yake na njia zake kamwe haogopi kupima,
Na km nikigundulika ninavyo utakuwa umenisaidia pia,
Kwani nitajua namna ya kuishi na kulinda afya yangu!
Mkuu si ulisikia walipika na kupakua huko tabata!
Kiukweli nimependa ulichoandika,huyo jamaa hana msimamo au upeo ya kwamba maisha ya sasa ni tofauti na ya zamani kwa hiyo kwa mwenzi wako au mke wako kukuzidi pato si kitu kibaya.mradi kiwe cha halal.
msingi mkuu na upendo na kuheshimiana.
Mwanaume wa dizaini ya ODM siyo type hii.... ntake radhi.dahhh Eiyer unamuonea Bishanga bure hapa,...hahaha...
...kwa mtazamo wangu, huyu mwanaume ndiyo type ya wale wa Aspirin aisee,..
yaani kiburi, majigambo na majivuno ya uanaume wake yamemvuka maskio
kiasi cha kujiona hatakuwa na sauti kwenye nyumba hiyo...
...angalia woga wake ulivyomponza? anafikiria uwezo wa kifedha ndio kila kitu katika ndoa!
no wonder wanaume kama hawa hutudhalilisha pale anapokuwa na kajiuwezo kidogo utamsikia,
"nishamtimizia mahitaji yote mke wangu acha wanaume tuendelee na vikao vyetu baa mpaka majogoo!"
Hahahaha mzee unalipwa kima cha chini cha JK unaleta matembele mama anapitia super market mshahara wake mnono na malupu lupu lazima usepe machafu anaweza kwambia acha kazi uwe unasimamia shughuli za kila siku hapa nyumbani.
Mmmm!nahisi hili ni la mtu binafsi,Hivi wanaume nao huwa na uhakika na njia zao?
Mmm! Sina uhakika, mtanisamehe wanaume