Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Tatizo la hawa dada zetu mnapoanza atakupenda kweli hata kama amekuzidi ila baada ya kuzoea ndoa na kuanza kuwasikiliza mashoga zake wanaotolewa out na waume zao basi anaanza kukuona mzigo. Ladies hasa wa kizazi hiki hawana upendo wa kudumu kama wake zetu tuliooa miaka 10 iliyopita. Huna hela basi anakudharau na huyu bwana kaonyesha uanaume kwani usidanganyike mwanamke anakupenda zaidi ukiwa uko vema ila kipato kikipungua tu madharau huanza je akikuzidi kipato si ndo hatari?
Mie naona mnaogopa tu bure,
Kwanza sio wanawake wote wana tabia hiyo,
Mwanaume hata km ana kipato km hajiamin ni tabu tupu!
 
Huyo jamaa ni limbukeni na ana ka ugonjwa kanaitwa inferiority Complex!!! Upendo haujalishi wheather ni maskini ama tajiri. Kwani watoto wa matajiri ama mabinti wenye uwezo si wangelolewa na matairi wenzao. Namshauri mdada huyo atue moyo atafute mwingine. Na awe mnyimi maana ataumiza roho yake bure!!!
 
Huyo jamaa ni aina ya wanaume aliowasema Bishanga,ila sio WANAUME aliowasema Aspirin,huyo jamaa hajiamini kabisa na hafai kuitwa mwanaume,hebu huyo binti akutane na MWANAUME kama mimi,lazima kwa kuunganisha nguvu tungekua na mjengo kama wa NSSF!!

dahhh Eiyer unamuonea Bishanga bure hapa,...hahaha...

...kwa mtazamo wangu, huyu mwanaume ndiyo type ya wale wa Aspirin aisee,..
yaani kiburi, majigambo na majivuno ya uanaume wake yamemvuka maskio
kiasi cha kujiona hatakuwa na sauti kwenye nyumba hiyo...

...angalia woga wake ulivyomponza? anafikiria uwezo wa kifedha ndio kila kitu katika ndoa!
no wonder wanaume kama hawa hutudhalilisha pale anapokuwa na kajiuwezo kidogo utamsikia,
"nishamtimizia mahitaji yote mke wangu acha wanaume tuendelee na vikao vyetu baa mpaka majogoo!"

atakuwa alikutana na Miner, what do you expect from a miner. Akili zao wanazijua wao, vya arusha, pombe, miraa akataka zote. Siwezi condem wanaume kuwa na inferiority kwa sababu case aliyokutana nayo huyo dada ni spesho case.
Angekuwa kakutana na mwanaume mwingine aliye kwenye industry tofauti na mining ningekoment.

Miners all over the world are special cases.
Hivi unachezea akili ya mtu anyezama umbali wa km kwenda chini? Unadhani atakuwa normal.

Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi.

Kwa kipindi cha miezi minne ya mahusiano yao hakuna aliyekua anajua kwa mwenzie,basi wakapanga jamaa atakapokuja dar wakaoneshane makwao,basi jamaa akarudi dar ijumaa iliyopita km kawa wakakutana na jmosi jamaa kampeleka mdada kwake tabata wakashinda huko wakapika na kupakua.

Jpili mdada naye akampeleka jamaa kwake maeneo ya Sinza hapo ndio balaa lilipoanzia kwan muda wote wakiwa pale yule mkaka alikuwa hana raha mwenzie akamuliza kulikon mbona ulikuja vizuri,yy akamuuliza pale anaishi na nani akamwambia mbona nilishakwambia naishi peke yangu.

Akamwomba amwonyeshe slip yake ya mshahara mdada akapigwa butwaa ila akamwonyesha kumbe kaharibu jamaa kanyanyuka na kuondoka akiwa amekasirika mdada hakumwelewa akambembeleza bila mafanikio,usiku wake jamaa akamtumia bint msg kuwa hamtaki tena,kwa sababu anahisi huyo mdada atamtawala maishani kwa vile kwanza ana kipato kikubwa,na ameshajijenga sana kimaisha,hivyo ni rahisi yeye kutokuwa na sauti ndani ya nyumba,au huyo dada anaweza kumwaga wakati wowote na kutoka na wenye uwezo km yy.

Mpaka ninavyoandika huu uzi jamaa hapokei simu na jana kaondoka kurudi mwanza,dada watu kachanganyikia alishampenda jamaa kupita kiasi hata hajui cha kufanya!

Asa mi nauliza hivi nyie wanaume hivi binti kuwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume ni kweli ni tatizo kwenye mahusiano?
Na dada afanyaje ili jamaa aelewe na waendelee?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Huyo jamaa ni limbukeni na ana ka ugonjwa kanaitwa inferiority Complex!!! Upendo haujalishi wheather ni maskini ama tajiri. Kwani watoto wa matajiri ama mabinti wenye uwezo si wangelolewa na matairi wenzao. Namshauri mdada huyo atue moyo atafute mwingine. Na awe mnyimi maana ataumiza roho yake bure!!!
Wala hujakosea kbs,
Nikushindwa tu kujiamin kwa huyu mwanaume,
Asante kwa maon yako!
 
atakuwa alikutana na Miner, what do you expect from a miner. Akili zao wanazijua wao, vya arusha, pombe, miraa akataka zote. Siwezi condem wanaume kuwa na inferiority kwa sababu case aliyokutana nayo huyo dada ni spesho case.
Angekuwa kakutana na mwanaume mwingine aliye kwenye industry tofauti na mining ningekoment.

Miners all over the world are special cases.
Hivi unachezea akili ya mtu anyezama umbali wa km kwenda chini? Unadhani atakuwa normal.
Dah, hapa napo umenipa somo,
Kumbe hawa watu wanakuwaga na akili tofauti!
Asante kwa ushauri lol!
 
Mbu MWANAUME hawezi ogopa hata iweje,jukumu la MWANAUME ni kumuongoza mwanamke hata kama ana hela kama Oprah!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
dahhh Eiyer unamuonea Bishanga bure hapa,...hahaha...

...kwa mtazamo wangu, huyu mwanaume ndiyo type ya wale wa Aspirin aisee,..
yaani kiburi, majigambo na majivuno ya uanaume wake yamemvuka maskio
kiasi cha kujiona hatakuwa na sauti kwenye nyumba hiyo...

...angalia woga wake ulivyomponza? anafikiria uwezo wa kifedha ndio kila kitu katika ndoa!
no wonder wanaume kama hawa hutudhalilisha pale anapokuwa na kajiuwezo kidogo utamsikia,
"nishamtimizia mahitaji yote mke wangu acha wanaume tuendelee na vikao vyetu baa mpaka majogoo!"

Asante Mbu,
Nimependa ulichoandika!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
miner ana uwezo wa kuaga kafiwa baba mzazi na akufuata game mpanda kutokea kagera.

Wakitaka kuondoka wanatumia neno, Naenda Kuua

Wala asingeweza kumfanyia hivyo,
Unajua kabla hajajua kipato cha binti alikuwa anampenda kwa namna alikvyokuwa anamheshimu,kiasi kwamba jamaa alipagawa kupita kiasi,mpaka jamaaa alishatoroka kazini mara mbili kumfata binti mwanza mjini,kwa kifupi alikuwa amehsakolea tayari,kipato ndio kimeua mapenz!
 
Habari zenu wapendwa,
Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi.

Kwa kipindi cha miezi minne ya mahusiano yao hakuna aliyekua anajua kwa mwenzie,basi wakapanga jamaa atakapokuja dar wakaoneshane makwao,basi jamaa akarudi dar ijumaa iliyopita km kawa wakakutana na jmosi jamaa kampeleka mdada kwake tabata wakashinda huko wakapika na kupakua.

Jpili mdada naye akampeleka jamaa kwake maeneo ya Sinza hapo ndio balaa lilipoanzia kwan muda wote wakiwa pale yule mkaka alikuwa hana raha mwenzie akamuliza kulikon mbona ulikuja vizuri,yy akamuuliza pale anaishi na nani akamwambia mbona nilishakwambia naishi peke yangu.

Akamwomba amwonyeshe slip yake ya mshahara mdada akapigwa butwaa ila akamwonyesha kumbe kaharibu jamaa kanyanyuka na kuondoka akiwa amekasirika mdada hakumwelewa akambembeleza bila mafanikio,usiku wake jamaa akamtumia bint msg kuwa hamtaki tena,kwa sababu anahisi huyo mdada atamtawala maishani kwa vile kwanza ana kipato kikubwa,na ameshajijenga sana kimaisha,hivyo ni rahisi yeye kutokuwa na sauti ndani ya nyumba,au huyo dada anaweza kumwaga wakati wowote na kutoka na wenye uwezo km yy.

Mpaka ninavyoandika huu uzi jamaa hapokei simu na jana kaondoka kurudi mwanza,dada watu kachanganyikia alishampenda jamaa kupita kiasi hata hajui cha kufanya!

Asa mi nauliza hivi nyie wanaume hivi binti kuwa na kipato kikubwa kuliko mwanaume ni kweli ni tatizo kwenye mahusiano?
Na dada afanyaje ili jamaa aelewe na waendelee?

Dada angu, me nakupa mfano, ebu, fanya "research" kati ya hawa wamama ambao, wapo kwenye uongozi wa nchi, na uje hapa uniambie kama umeshawahi kuona ata, kapicha kamoja wamama hawa, wamepiga na waume zao! Ebu niwekee picha kati ya mama migiro na mzee mwezake....... Jamaa ana IQ kubwa tu kwa maamuzi yake magumu aliyoyafanya.
 
Jamani ee, kufanya kazi migodini sio lazima awe "nyoka"....
inawezekana ni mmiliki wa mgodi, mnunuzi, mchongaji etc....au?
halafu, kazi ni kazi...almuradi mdomo wenda kinywani jamani au?...lol...

mfano; mie ni mchuuzi wa dagaa toka kigoma hapa soko kuu la kariakoo na hamniambii kitu!

Mbu MWANAUME hawezi ogopa hata iweje,jukumu la MWANAUME ni kumuongoza mwanamke hata kama ana hela kama Oprah!

Eiyer, nipe mifano kati ya mitano mpaka kumi jinsi ya kumuongoza mwanamke (uijuayo wewe.)
 
huyo jamaa hana msimamo au upeo ya kwamba maisha ya sasa ni tofauti na ya zamani kwa hiyo kwa mwenzi wako au mke wako kukuzidi pato si kitu kibaya.mradi kiwe cha halal.
msingi mkuu na upendo na kuheshimiana.
 
Hivi wanaume nao huwa na uhakika na njia zao?

Mmm! Sina uhakika, mtanisamehe wanaume

Mtu mwenye uhakika na afya yake na njia zake kamwe haogopi kupima,
Na km nikigundulika ninavyo utakuwa umenisaidia pia,
Kwani nitajua namna ya kuishi na kulinda afya yangu!
 
Mbu,kuongoza kuna maana ya kusimamia mtu au kikundi cha watu kwenda kule mlikokubaliana kwenda.KAZI YA KIONGOZI ni kuwasimamia anaowaongoza au anaemuongoza kuyafanya yale anayotakiwa kuyafanya wakati wa safari ya kuelekea mnakoenda!
 
huyo jamaa hana msimamo au upeo ya kwamba maisha ya sasa ni tofauti na ya zamani kwa hiyo kwa mwenzi wako au mke wako kukuzidi pato si kitu kibaya.mradi kiwe cha halal.
msingi mkuu na upendo na kuheshimiana.
Kiukweli nimependa ulichoandika,
Nahisi kuna watu bado hawajakubali mabadiliko kbs,
Asante kwa maoni.
 
dahhh Eiyer unamuonea Bishanga bure hapa,...hahaha...

...kwa mtazamo wangu, huyu mwanaume ndiyo type ya wale wa Aspirin aisee,..
yaani kiburi, majigambo na majivuno ya uanaume wake yamemvuka maskio
kiasi cha kujiona hatakuwa na sauti kwenye nyumba hiyo...

...angalia woga wake ulivyomponza? anafikiria uwezo wa kifedha ndio kila kitu katika ndoa!
no wonder wanaume kama hawa hutudhalilisha pale anapokuwa na kajiuwezo kidogo utamsikia,
"nishamtimizia mahitaji yote mke wangu acha wanaume tuendelee na vikao vyetu baa mpaka majogoo!"

Mwanaume wa dizaini ya ODM siyo type hii.... ntake radhi.

Ishu ya hawa watu ni mapenzi wajameni...... huyu kidume hakumpenda huyu bunti. Ukimpenda mtu fedha si ishu. Jamaa alishakula mzigo akaona haumlipi akatafuta sababu. Yaweza kuwa labda ana demu wake kwa hiyo amekula mzigo kisiri na kusepa wake asijejua. (Huo ndo uanaume sasa)
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha mzee unalipwa kima cha chini cha JK unaleta matembele mama anapitia super market mshahara wake mnono na malupu lupu lazima usepe machafu anaweza kwambia acha kazi uwe unasimamia shughuli za kila siku hapa nyumbani.

kibaya zaid ye yuko ofis za kifisad kipato chako chamwez anauwezo wa kukidaka kwa siku 2 au 3 mbona utaachishwa kaz. Uku kitaan kwetu kuna jamaa ye ni kinyoz tu deiwaka ila waifu wake ana vimilad sema ndo ivo kiswahilisawhili. ana mama ntilie,ana kijiduka cha vipodoz ila izo nyodo zake jamaa anataman kukimbia nyumba ila ndo ivo tena wana watoto wawili mwanadada akianza kumwagia matusi jamaa machoz huwa yanabubujika mbele ya wapangaj wenzake ila ndo ivo ana cha kufanya sababu ata kod ya nyumba analipa mama.
 
Back
Top Bottom