Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Drc congo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
636
Reaction score
2,896
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.

Hivi kuna madhara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama?
 
WEWE SIYO HUYU
images.jpg
 
Hata siku 40 hazijafika? Woiiiiiih
Mtambemenda huyo mtoto, awe na afya dhaifu, lol
Ila wanaume jamani, nyege gani hiziii? Khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kufanya siku 40 wala wiki 6 bila kufanya mapenzi ni shida sana
Nasema shida sana !!Nyege jameni
 
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.
Ivi kuna mazara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama ?
Madhara hakuna ila kuna risk factor ya kupata ujauzito.
Suala la kubemenda mtoto huwa linakuja msipozingatia usafi kabla na baada ya tendo.
 
Back
Top Bottom