Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Subiri mpaka mtoto aache kunyonya, kwani miaka ya nyuma uliishije?
 
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.

Hivi kuna madhara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama?
Kama anakuachia ni mjinga kwani mtoto kafa?
 
kuniachiya kivip ? mtoto ajafa
Yaani mgodi unapewa? wanaweke Huwa wanafundishwa na mimi hapa nakufundisha kwamba ukifanya nje,(mchepuko), mtoto atapata kikohizi kikavu na homa Kali na mafua,(makamasi),yanayo chirizika, kwakifupi mtoto ndiye anaathirika, upo?
 
Kwani mke mwenyewe anasemaje? Yy ndo anajisikia hali yake...mambo mengine msitusemee tunajua wenyewe Yess or No
 
Back
Top Bottom