Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Msaada tafadhali: Kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja

Siku 42 Mama anakuwa bado haja-regain nguvu lakini pia hata Maumbile atakuwa hajapona sawasawa

Mvumilie walau zipite Siku 90,

Na kama Dini ina ruhusu ongeza Mke mwingine wa kupoza machungu ama ukishindwa hamia chaputa Kwa muda wakati Mkeo anaendelea ku-recover
 
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.
Ivi kuna mazara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama ?
Aliyejifungua baada mwezi mmoja?
 
Habari za asubuhi ndugu zangu,

Naomba kufahamu kuhusu kufanya tendo la ndoa na mke ambaye alijifungua baada ya mwezi mmoja.
Ivi kuna mazara yoyote kwa upande wa mtoto wala kwa mama ?
Wewe ukiachiwa mtoto ulee unaweza ukabaka
 
Back
Top Bottom