M Maisha001 Member Joined Nov 13, 2019 Posts 77 Reaction score 43 Nov 29, 2019 Thread starter #21 Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu?
Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu?
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Nov 29, 2019 #22 Maisha001 said: Urahisi wa Ryzen 5 2500u tofauti na Ryzen 5 3500u umemaanisha matumizi au gharama mkuu? Click to expand... Gharama za Ryzen 5 2500u, mfano hii blackfriday unaipata as cheap as dola 299.
Maisha001 said: Urahisi wa Ryzen 5 2500u tofauti na Ryzen 5 3500u umemaanisha matumizi au gharama mkuu? Click to expand... Gharama za Ryzen 5 2500u, mfano hii blackfriday unaipata as cheap as dola 299.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Nov 30, 2019 #23 Maisha001 said: Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu? Click to expand... Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine.
Maisha001 said: Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu? Click to expand... Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine.
M Maisha001 Member Joined Nov 13, 2019 Posts 77 Reaction score 43 Dec 1, 2019 Thread starter #24 Chief-Mkwawa said: Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine. Click to expand... Pamoja Sana mkuu.
Chief-Mkwawa said: Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine. Click to expand... Pamoja Sana mkuu.