Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za Ryzen 5 2500u, mfano hii blackfriday unaipata as cheap as dola 299.Urahisi wa Ryzen 5 2500u tofauti na Ryzen 5 3500u umemaanisha matumizi au gharama mkuu?
Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine.Lakini Jambo jingine iko locked au inanipa Uhuru kuweka program zingine kulingana na mahitaji na matumizi yangu mkuu?
Pamoja Sana mkuu.Haina mahusiano yoyote na kuwa lock ama kuwa wazi, hilo ni suala la operating system, as long as unatumia windows itafanya kazi kama laptop nyengine.