Msaada tafadhali "Mapenzi yamchanganya"

Msaada tafadhali "Mapenzi yamchanganya"

pouwa Mkuu, nitamweleza ingawa alichonieleza leo ni kuwa kila anapompigia ikitokea akapokea hataki kuongea hata dk 2. Pia kakataa akamtembelee kambini hapo hotelini

ndo ameshukuwa superstar hivyo..Dah, namuonea huruma jamaa, ana haki ya kuchanganyikiwa..
 
pouwa Mkuu, nitamweleza ingawa alichonieleza leo ni kuwa kila anapompigia ikitokea akapokea hataki kuongea hata dk 2. Pia kakataa akamtembelee kambini hapo hotelini
Alrite! Alrite! Now I can guarantee you there is something fishy out there, mshkaji wako inabidi ajipange kukabiliana na hali halisi. If it was meant to be suprise, the phone call was supposed to unlock the suprise but kama hana hata muda wa dakika 2, definetly she is trying to run away from suspect questionnaire.
 
Kwa kifupi tu ni kwamba jamaa inabidi ajipange kiutu uzima. Maana kama huyo girlfriend wake akishinda hiyo miss univ. atakuwa celebrity fulani hivi..

Jamaa akishafahamu kwa nini hakupewa taarifa, basi amuombe huyo msichana uhakika kama yeye ataendelea kuwa boyfriend wake..wafikie muafaka.

off topic:
siku nyingine tafuta msichana wa kawaida, achana na ma-miss , watakuua kwa pressure..maana hapo utakuwa unashindana na masharobaro na mapedeshee wa mjini, sasa kama hauna usafiri kazi kwako..
hii off topic nimeipenda ila itamuumiza sana jamaa kwani hana hata gari na kazi kaanza mwaka jana. Dah
 
huyo atakuwa anamambo yake na anamtu mwingine wa karibu kwani ninavyojua maswala kama haya huwa yanahitaji ushirikiano sana na mtu wako wa karibu kuna mahitaji madogo madogo lazima akusaidie sasa yeye alisaidiwa na nani na alifanya siri inamaana rafiki yako hana maana kwake na kama ingekuwa surprise angemwambia siku fulani na saa fulani angalia tv fulani utaona kitu iyo ndio ingekuwa suprise but hili ni changa la macho😛ound:
 
at least kaja memba mmoja aneelewa maana ya suprise. I hope Lizzy atasoma hii. ubarikiwe Catherine
 
huyo atakuwa anamambo yake na anamtu mwingine wa karibu kwani ninavyojua maswala kama haya huwa yanahitaji ushirikiano sana na mtu wako wa karibu kuna mahitaji madogo madogo lazima akusaidie sasa yeye alisaidiwa na nani na alifanya siri inamaana rafiki yako hana maana kwake na kama ingekuwa surprise angemwambia siku fulani na saa fulani angalia tv fulani utaona kitu iyo ndio ingekuwa suprise but hili ni changa la macho😛ound:
Nimemuuliza kama aliombwa fedha yoyote amesema hakuna lolote aliloambiwa mpaka alipomwona kunako tbc1
 
pouwa Mkuu, nitamweleza ingawa alichonieleza leo ni kuwa kila anapompigia ikitokea akapokea hataki kuongea hata dk 2. Pia kakataa akamtembelee kambini hapo hotelini

hizo ni mojawapo ya dalili za kuachwa,jamaa aikubali hali halisi.you never know,pengine mungu anamuepushia mengi.
 
Ni yupi, kati ya hawa, kabla sijatoa ushauri wangu? lol

002.miss+universe.JPG

Ni huyo aliyekenua ili kuonyesha meno yake...🙂
 
Wana JF
Nina mshikaji wangu amepata shock baada ya mpenzi wake wa miaka minne kumuona akishiriki miss universe pasipo kumpa taarifa yoyote. Anashangaa tu kumuona kwenye televisheni juzi usiku wakati wa taarifa ya habari. Ameniomba ushauri kwani hajui afanye nini? Kiufupi amekuwa kama amechanganyikiwa

Sasa nini kimemchanganya?
 
Back
Top Bottom